Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Membe akanusha ACT Wazalendo kuungana na CHADEMA "Mimi ndie Mgombea Urais"

 


Bernard Membe amekanusha taarifa za kuwa wamejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika ngazi ya Urais akiseme yeye ndio Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo.

Membe amesema, “Mimi ndiyo Mgombea Urais wa JMT kupitia Chama cha ACT-Wazalendo. Mimi ndiye niliyekabidhiwa Ilani ya Chama hicho kuinadi kote nchini kwenye Uchaguzi huu”.


Kauli yake inakuja baada ya Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad kumuidhinisha Tundu Lissu (CHADEMA) kuwa Mgombea wao wa Urais wa Tanzania.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

4 Comments

 1. Membe, Jamani. Membe nakuhurumia.
  Si, Maalim, si Zitto.
  Hata Tundu, wote wammeamua kukupiga Nondo,tena ya kichwani.ili usitafakari

  JITATHMINI, WANAKUFANYA KINYAGO.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Amka, AMKA MEMBE BABA.

   WAMEAMUA KUKUZIKA(RIP) Oct tatu.

   Simamisha RUZUKU KUWAPA. Wamekusaliti. kumb 03/10/20 siku 25 kabla ya uchaguzi wana lao ovu juu yako. Ndoto ya Uraisi wataichakachua,na kumpa mpinzani wako. Ina umaa kwelikweli.

   Kuwa Makini.

   Delete
 2. Membe Jamani. Membe...!!! nakuhurumia.
  Si, Maalim, si Zitto.
  Hata Tundu, wote wammeamua kukupiga Nondo,tena ya kichwani.ili usitafakari

  JITATHMINI, WANAKUFANYA KINYAGO. HUKU
  WANAKULIA CHAKO. INAKUWAJE SASA...???

  MSAFIRI MMOJA, WABEBA MAKASHA WENGI.
  UMEGEUKA BUZII? AU WAMEKUGEUZA NA KUKUGEUKIA. JAMANI..!!!, BINAADAMU..!!

  Membe,Wamesha kusaliti.Njoo kwetu UPDP TUNA SERA NZURI NA INAUZIKA

  ReplyDelete
 3. Membe, wewe Raisi. Unanngoja kuapishwa
  Bwege aikwisha sema. Dunia inajua Figisu figisu ya vilema isikubabaishe
  Endelea na kapeni kama kawa.

  Benard Camelius Membe 2020 oyeeee!!!!!

  ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)