9/11/2020

Meneja avunja ukimya,afunguka Aslay kuzushiwa kifoMeneja wa msanii Aslay, Chambuso amesema kuwa msanii wake amekuwa akiteseka na mambo yanaendelea kwa sasa kwa sababu yeye ni mkimya, sio mtu wa kujibu na kutumia mitandao ya kijamii ndiyo maana watu wanamzushia vitu vingi kama kifo. 


"Aslay aliamua kukaa kimya kuanzia kwenye mitandao akawa haposti kitu na huwa hamjibu mtu, hili likaleta watu kumzushia kifo ila ukweli ni kwamba Aslay yupo hai, mara ya kwanza alinipigia simu usiku kuhusu hizo taarifa za kifo tena tulikuwa mkoani ilibidi turudi Dar Es Salaam na Aslay sio kama amekwama" 


"Kwa hiyo tulichofanya ni kutoa taarifa polisi ila ubaya watu wanaoimiliki hiyo akaunti ya YouTube hawajulikani, na tumewashtaki kwenye mtandao huo kwahiyo baada ya wiki 2 zitashushwa zile taarifa".


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger