Menina Akosolewa Hajui Kuigiza...Ray Kigosi AmteteaBaada ya watu wengi kuukosoa uigizaji wa Menina katika tamthilia ya Tandi, 


Ray amejibu kuwa watu wampe muda mrembo huyo atakomaa tu kiugizaji sababu ndio ameanza,


Ray anasema.... Kuhusu Menina kuzungumza sana kiingereza Ni Sababu uhusika wa ndivyo ulivyomtaka!!

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE