9/30/2020

Mfalme al-Sabah wa Kuwait afariki akiwa na miaka 91Kifo chake kinaacha pengo kwa umoja wa nchi za kiarabu ya Ghuba ya Uajemi inayoshirikiana na chi za Magharibi, kuwa bila ya mmoja wa viongozi wake wazee wenye uzoefu wakati washirika wa kikanda pamoja na Qatar, Saudi Arabia na Misri wamegawanyika na uhasama ambao mfalme Sabah alijaribu kuupatanisha

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger