9/08/2020

Mfungwa aliyemshambu R Kelly adai alitumwa na serikaliHatimaye mfungwa aliyemshambulia mwimbaji wa RnB Duniani, Robert Kelly maarufu R Kelly wakiwa gererani amejitokeza na kuzungumza sababu hasa za kumshambulia mwimbaji huyo.

Mfungwa huyo aliyejitambulisha kwa jina la Jeremiah Shane Farmer, 39 amesema alitumwa na serikali kufanya shambulizi hilo la kumdhuru #RKelly, "The government made me attack R. Kelly" alisema Jeremiah.


Kwa mujibu wa The Blast, Jeremiah ametambulika kuwa ni mmoja kati ya memba hatari wa kundi la kihalifu maarufu kama Latin Kings.


Sambamba na hilo, #Jeremiah alidai kuwa, alifanya tukio hilo kwa lengo la kupata umaarufu na dunia kufahamu kwamba serikali inanuka rushwa.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger