Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Chalinze afunguka hali ya Lulu Diva, Belle 9 na Bonge la Nyau


Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Chalinze Sudy Msakamali amezungumza hali ya Kiafya ya Wasanii Lulu Diva, Belle na Bonge la Nyau waliopata ajali maeneo ya jirani na Chalinze ambapo amesema wanaendelea vizuri.
"Wamepata majeraha ya kawaida, Belle 9 amepata mchubuko kichwani amepewa dawa , Lulu Diva yeye kidogo amepata zaidi ya kichwa ila tumegundua maumivu yake hayawezi kumletea matatizo" - Dkt.Sudy

Wasanii hao walipata ajali ya gari alfajiri ya leo Chalinze Pwani wakiwa safarini kwenda DSM.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments