9/18/2020

Mgombea Urais wa CCM Ndugu JOHN POMBE MAGUFULI amefanikiwa kuwaunganisha wana-KIGOMA
*NGOME YAVUNJWA KIGOMA* : Mgombea Urais wa CCM Ndugu JOHN  POMBE MAGUFULI amefanikiwa kuwaunganisha wana-KIGOMA kwa Ujumla wao katika Mkutano wa Kihistoria uliofanyika katika Viwanja Vya Lake Tanganyika. Kwa Umoja wao wana KIGOMA wameitikia na Kumpokea kwa Makumi Elfu. Kigoma Yote Kupata wabunge wa CCM 2020.  Takwimu zinaonesha T2020JPM atashinda kwa zaidi ya asilimia 85 huku Hali ya Kukubalika Miongoni mwa wananchi ikiendelea kuongezeka kila siku @ccmtanzania @MagufuliJP

#VitendoVinaSauti

#T2020JPM✅

#KuraKwaMagufuli2020

#ChaguaMaendeleo
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger