9/21/2020

Miezi miwili baada ya kuachiwa huru toka gerezani, rapper wa zamani LOON amekutana na Diddy.

 


Loon (45) ambaye alikuwa memba wa Label ya Bad Boys, alihukumiwa kifungo cha miaka 14 gerezani (Julai 2013) kwa kuhusishwa na dhamira ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroin ambapo alikamatwa mjini Brussels.


Julai 29 mwaka huu Loon (Amir Junaid Muhadith) aliachiwa huru baada ya kutumikia kifungo chake kwa miaka 9.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger