9/22/2020

Mimi Mars Atoa Ujumbe Huu Mzito Kuhusu DiamondKutoka Kwenye Ukurasa Wa CHUGGA QUEEN @mimi_mvrs11  Ameandika...


''Palipo na upendo hapana woga; naam, upendo kamili hufukuza woga wote. Basi, mtu mwenye woga hajakamilika bado katika upendo, kwani woga huhusikana na adhabu.”

‭‭1 Yohane‬ ‭4:18‬ ‭

_

Ameyasema hayo Mimi Mvrs... Siku chache Diamond aliandika Ujumbe kuwa anampenda sana Mimi Mvrs Lakini Anaogopa na Hajui anafeli wapi  - #regrann  

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger