Orodha ya Wasanii watakaokuwepo Jukwaani Leo Ufunguzi wa Kampeni za Mgombea Urais Zanzibar Dkt Hussein Ally Mwinyi.


Moto Moto Leo. Orodha ya Wasanii watakaokuwepo na kupanda Jukwaani Leo Jumamosi kwenye Ufunguzi wa Kampeni za Mgombea Urais Zanzibar Dkt Hussein Ally Mwinyi.
Usikose kutufuatilia mubashara Leo kupitia vituo vya runinga vya ZBC, TBC, Clouds, ITV na Channel 10, pia matangazo yatarushwa kupitia Kurasa rasmi za Chama mitandaoni. @ccmtanzania @dr.hmwinyi

#Zanzibampya
#sisinichama
#YajayoNineemaTu
#Mwinyi2020✅ That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments