9/27/2020

Msanii Lavalava Muziki umemkataa kabisa inabidi atafutiwe kazi inayomfaa...Afanye Kazi Gani nje ya Muziki?Kati ya tasnia inayokuwa kwa haraka sana na yenye mashabiki wengi sana ni muziki na sanaa ya uigizaji

Wadau wengi wamewekeza lakini kwenye huu muziki Diamond Platinumz na uwekezaji wake kidogo umeanza kumlipa na umeonesha kumlipa sana kupitia wasanii alio wasign mfano

- Harmonize

-Mboso

-Rayvany

-Zuchu

-Lavalava

Lakini uwekezaji kwa msanii wa Lavalava umekuwa wa kupoteza zaidi kwakuwa ni wazi inatumika nguvu kubwa na hela nyingi kumsukuma lakini ni wazi Miziki umemkataa kabisa

Msanii Lavalava amejitahidi sana kuupenda Muziki lakini Muziki na Mashabiki wamemkataa kabisa ni wazi Muziki auwezi kumtoa wala hatoweza rudisha hela ya uwekezaji!

 

Msanii Lavalava anapaswa kukaa chini na Diamond kumueleza ambacho anaona ataweza fanya nje ya Muziki kitakacho mletea pesa hili asaidiwe kukifanya!

 

Pengine hata Mashabiki wanaweza msaidia kufikiri kitu cha kufanya nje ya Muziki!

Wasalaaam

By Ruttashobolwa/JF

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger