9/21/2020

MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara ulivyo kwa sasa Banda ya Mechi za Jana

MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara ulivyo kwa sasa ikiwa ni mzunguko wa tatu umeanza kutimua vumbi kabla ya leo mechi nyingine kuendelea kwa timu kusaka pointi tatu muhimu.

Mbeya City bao wanajenga ushkaji na nafasi ya 18 baada ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 mbele ya Azam FC, Uwanja wa Sokoine na Azam wanakamata usukani kwa sasa namna hii:-
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger