9/14/2020

Mtaalamu "Supu ya Pweza Haiongezi Nguvu za Kiume"


Mkuu wa Idara ya Utengamao katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dkt. Abdallah Makala amesema utumiaji wa Supu ya Pweza hauongezi nguvu za kiume. Amesema utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume si mzuri lakini ufanyaji mazoezi ni njia bora zaidi

Amefafanua kuwa, tafiti zinaonesha mazoezi husaidia kupunguza madhara kama kisukari, magonjwa ya moyo lakini pia, yanachangia uwezo wa ufanyaji tendo la ndoa. Kwa upande wa wanawake, utafiti ulionesha mazoezi huchangamsha ufanyaji wa tendo la ndoa na kuridhika mapema
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger