.

9/21/2020

Mti waota ndani ya mapafu ya binadamu, alimeza mbeguMwaka 2009 Artyom Sidorkin raia wa Urusi alifanyiwa upasuaji na kutolewa mti wa urefu wa Centimeter 5 uliokuwa umeanza kuota kwenye mapafu, Madaktari walisema inawezekana alivuta mbegu ya mti huo, alikuwa anakohoa aamu, maumivu kifuani.


Taarifa iliyoripotiwa na mtandao wa Daily Mail wa Uingereza April 14, 2009 ilisema kuwa baada ya Artyom kulalamika maumivu ya kifua na kushindwa kupumua vizuri, alipelekwa hospitali ambako baada ya X-ray alikutwa na mti wa urefu wa cm 5 ulioanza kumea kwenye mapafu.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger