9/24/2020

Muonekano wa Mjengo Mpya wa Christian Bella Baada ya KukamilikaHuu ndiyo mjengo wa mwimbaji Christian Bella wa Gorofa moja ambao ameujenga kwa miaka na upo maeneo ya Mbweni Jijini Dar-Es-Salaam.Bella amesema tayari ameshahamia kwenye mjengo huo na yupo mbioni kumalizia mjengo wake mwingine wa Gorofa alioanza kuujenga hivi karibuni.


Hizi hapa chini ni Picha zinazoonesha kwa nje mjengo wa Christian Bella ukiwa umekamilika.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger