9/19/2020

Mwanamuziki Offset Hana Hata Habari Kuwa Card B Ameomba Talaka...Odokeza Kuhusu Ujio Mpya


Offset ni kama amefunga masikio, hataki kusikia ya Cardi B na sakata la talaka. Kupitia ukurasa wake wa Instagram jana alidokeza kuhusu ujio wa wimbo wake mpya.


Rapa huyo wa kundi la Migos ambaye jina lake limeongozwa kuandikwa kwenye headline za habari za burudani wiki hii, ameweka picha iliyoambatana na caption isemayo "Set 2.0" pia aliweka video na kisha kuandika "I want That Cash Now" huku wengi wakidai ndio jina la ngoma hiyo.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger