9/07/2020

Mwijaku na mke wake waanzisha challenge ya wapendanao, washiriki kutalii ZanzibarMsanii wa Bongo Movie na Mtangazaji wa Clouds Media, @mwijaku ameanzisha Challenge ya mahusiano kwa wapendanao akishirikiana na Mke wake @aliciousm


Akiongea na Waandishi wa habari @mwijaku akiwa ameongozana na mke wake @aliciousm ameeleza kuwa leo la kuanzisha Challenge hiyo ni kutafuta familia/mahusiano ambayo yatakuwa mfano bora kwa jamii kuonyesha namna gani wanandoa wanatakiw akuishi wakionyesha upendo wa hali ya juu.


Wameongeza kuwa watachagua familia nane ty amabzo zitakuwa mfano kufundiisha jamii namna ya wana ndoa kutakiwa kuishi wakionyesha upendo ili kujenga familia iliyo bora kwani familia bora hujengwa na upendo wa baba na mama.


Kwa familia zitakazofanikiwa kushiriki hiyo challenge washindi watapata zawadi lakini hizo familia nane zitapata nafasi ya kwenda kutalii Zanzibar.


Challenge hiyo itasimamiwa na Taasisi isiyo ya kiserikali ya @smartgeneration_tz


inayosiamiwa na @nikkwapili pamoja na @officialcza

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger