Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Naombeni Ushauri Kila Nikifanya Mapenzi Bila Kinga Napata Ujauzito

Mimi ni Msichana wa Miaka 25 , Tatizo langu ni kuwa kila nikifanya mapenzi na mvulana bila kutumia zana lazima nipate mimba, nilianza kuwajua wanaume toka nikiwa na miaka 21 siku niliyotolewa bikira nilipata mimba pia ikanibidi niitoe kwa vile nilikuwa nasoma ..sasa kuanzia kipindi hicho nikifanya tu lazima nipate mimba nimeshatoa mimba kumi na tano mpaka sasa, Nimejaribu kufuata Calender lakini wapi...Je hili ni Tatizo ama nimelogwa ? Nimekuwa mtu wa kufanya abortion kila wakati mpaka naogopa sasa nisije haribu kizazi changu nikashindwa kuzaa muda muafaka wa kuwa na mtoto....................

Help pliz

Mimi Mdau ..Msinitukane jamani

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

7 Comments

 1. una kizazi cha karibu ndo maana

  ReplyDelete
 2. Tuliza nyege zako hadi ukiolewa,usiwe manun'gaembe tulizana sikila MTU wa kumvulia chupi

  ReplyDelete
 3. Kimbia haraka kwa mchungaji Gwajima ukaombewe. Maana sio bureuna pepo baya sana.

  ReplyDelete
 4. Fuatiatilia vizuri menstrual yako ili kujua ni lini siku zako za hatari

  ReplyDelete
 5. WALA USIOGOPE, FANYA HIVI FUNGUA TOVUTI HII https://menstrual-cycle-calculator.com/ AU
  https://www.babymed.com/menstruation-menstrual-period-cycle-calculator-calendar, SASA HUMO KUNA CALCULATORS AMBAZO ZITAKUSAIDIA KUJUA NI SIKU ZIPI UPO SALAMA AU HAUPO SALAMA. NI NZURI SANA MAANA HATA MIMI HUWA NATUMIA KUANGALIA BEFORE KU...DO

  ReplyDelete
 6. kwanza una bahati ya watoto, na ukiendelea kuwatoa, siku ukiwahitaji hutawapata ng'o!, una miaka 25 basi zaa ili usiendelee kuwa muuaji!!

  ReplyDelete
 7. Yaani ulitaka kusudi kuu la mapenzi liondolewe ibaki kuwa starehe tu ama? Ukipanda unatarajia kuvuna ndio kanuni.

  ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)