Nay wa Mitego na ujio mpya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa BongoFleva Nay wa Mitego ameeleza kuwa yupo tayari kutoa wimbo mpya kwa sasa kutokana na watu wengi kumuuliza maswali kuhusiana na ujio wake ambapo mara ya mwisho alitoa kazi ya yupo wapi.

Nay wa Mitego amefahamisha hilo kupiti ujumbe aliouweka kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram ambao umefuatana na comments mbalimbali kutoka kwa wadau na mashabiki wa muziki huku wakihitaji atoe wimbo mpya.

Kupitia post hiyo Nay wa Mitego ameandika kuwa  "Sawa nipo Tayari kuwapa ngoma mpya mmenidai sana, HashTag ni Haki, Haki, Haki. Comments 600 naachia ngoma".
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad