9/01/2020

Nchi yetu inaongoza kuwa mahali penye usalama katika Afrika Mashariki- JPM “Tumejenga Hospitali ya Wilaya hapa Bahi kwa Tsh. Bil 1.8 ambayo ujenzi wake umefikia 95%, tumejenga vituo vya afya 3 kwa Tsh. Bil 1.5, nataka hii Hospitali ya Wilaya ikamilike haraka ili Wananchi waanze kutibiwa hapa, ndio maana nawaomba mnipe kura nikamalizie palipobaki”-JPM


“Nchi yetu ni miongoni mwa Nchi 10 zenye maendeleo ya juu Afrika, na katika Global Peace Index yaani mahali penye usalama zaidi, katika ripoti ya mwaka 2020 Nchi yetu inaongoza kuwa mahali penye peace katika Afrika Mashariki, Afrika nzima sisi ni Watu wa 6 na Dunia ni wa 52” -JPM

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger