9/28/2020

Ndoa ya Ruby Yanukia...Kusah Ndio Basi Tena Alie tu

 


Wakati penzi lake na Kusah imebaki historia, Inaelezwa Ruby na @iam_johnkay ambaye ni mpenzi wake wa sasa penzi lao lipo imara na wana malengo mengi pamoja ikiwemo ndoa.


Ruby amekuwa akionekana wazi kumsapoti @iam_johnkay katika kazi zake za filamu ambapo na yeye anaonekana kumsapoti Ruby katika muziki wake

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger