9/19/2020

Nina furaha sana kuwa Tanzania kwa wazazi wetu- Rais Ndayishimiye “Nina furaha sanasana kuwa Tanzania kwa Wazazi wetu Tanzania, kwanza naomba msamaha labda Kiswahili changu kitakuwa kibovu lakini nitajitahidi, mimi sikuzaliwa karibu na mpaka wa Tanzania, sikuzaliwa Bujumbura lakini nitajitahidi” Rais NDAYISHIMIYE

“Zamani Watanzania wakiona Mrundi anakuja hapa walikuwa wanadhani kuna mambo mabaya Burundi ila sasa mimi nimekuja na salamu za Warundi wanawasalimia sana, kwa niaba yao nataka nikupongeze JPM kwasababu umejenga Tanzania, umeibadilisha Tanzania”” Rais NDAYISHIMIYEHABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger