9/06/2020

Pazia la VPL kufunguliwa leo kwa mechi 6


Ligi kuu soka Tanzania bara msimu wa 2020-21 inaanza leo kwa jumla ya mechi 6 kupigwa ikiwemo mchezo utakaohusisha mabingwa watetezi Simba SC dhidi ya wageni wa ligi waliopanda daraja msimu huu Ihefu FC ya Mbeya.Msimu huu utashuhudia timu 18 zikimenyana kumsaka bingwa baada ya tyimu 2 kupunguzwa kutoka idadi ya timu 20 zilizoshiriki misimu kadhaa iliyopita.

Katika msimu huu timu zilizopanda daraja ni tatu ambazo ni Ihefu FC, Gwambina FC na Dodoma Jiji.

Mechi za raundi ya kwanza.

JUMAPILI
Namungo FC Vs Coastal Union
Biashara Vs Gwambina FC
Dodoma Jiji Vs Mwadui FC
Ihefu FC Vs Simba SC
Mtibwa Sugar Vs Ruvu Shooting
Yanga SC Vs Tanzania Prison

JUMATATU
KMC VS Mbeya City
Kagera Sugar Vs JKT Tanzania
Azam FC Vs Polisi Tanzania
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger