Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Rais wa Afrika Kusini aomba wimbo wa Jerusalema uchezwe katika sikukuu

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURERais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amewaombaraia wa nchi yake kusherehekea siku ya Urithi yam waka huu -Heritage Day kwa kufanya shindano ladensi ya wimbo wa Jerusalema.

Jerusalema ni wimbo wa mwanamuziki wa Afrika Ksuinina mzalishaji KG ambao umevuma na kusambaa kote duniani. Wimbo huo ulinadi densi ya aina yake inayochezwa na makundi ya watu kote dunianiambayo inasambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii.


Heritage Day ni sikukuu inayosherehekewa kila mwaka tarehe 24 Septemba kwa ajili ya maadhimisho ya utamaduni na utofauti wa watu wa nchi hiyo.


"Hapawezi kuwa na njia nyingine nzuri ya kusherehekea utaifa wetu kuliko kujiunga na jambo ambalo linasambaakote duniani ambalo nidensi ya Jerusalema challenge," Bwana Ramaphosa alisema katika hotuba yake ya televisheni.


"Kwahiyo , ninawaomba nyote kushiriki hili katika shindano la Siku ya urithi- Heritage Day na muoneshe dunia kile tunachoweza kukifanya ."

Post a Comment

0 Comments