Rapa Tekashi 6ix9ine Afunguka "Kuna wakati nikiwa gerezani Nilitaka Kujitoa Uhai"

Rapa Tekashi 6ix9ine alitaka kujiua kipindi yupo gerezani, amefunguka kwa mara ya kwanza kwenye mahojiano na mtangazaji Lisa Evers wa FOX 5 New York.

6ix9ine amesema ilifika kipindi baada ya kusongwa na mawazo sana pia shinikizo, alifkiria kujiua.

"Shinikizo lipo juu sana, Kiakili, nafikiri mtu angeweza kujitoa uhai. Kuna wakati nikiwa gerezani, nilifikiria hivyo. Kunakupa mawazo sana kwa sababu unajiona kwenye taarifa ya habari kila siku kwamba ni hivi na vile, kisha unabaki kujiuliza haya yataisha lini?" alisema Rapa huyo. That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments