9/25/2020

Ratiba ya ligi kuu Tanzania Bara leoKagera Sugar ilyo nafasi ya 15 kwenye msimamo na pointi moja  itamenyana na KMC iliyo nafasi ya kwanza na pointi zake tisa zote zikiwa zimecheza mechi tatu, Uwanja wa Kaitaba.

Mbeya City iliyo nafasi ya 18 ikiwa haijaambulia pointi  itamenyana na Namungo iliyo nafasi ya 13 na pointi zake tatu, Uwanja wa Sokoine.HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger