9/15/2020

Roho Imeniuma Nimeachwa na Mwanamke Nimpendaye Sababu Ameniona Sina Mwelekeo Mzuri wa MaishaImekuwa kama ni ndoto kwangu hatimaye Yule mwanamke niliempenda na nikiamini atakuja kuwa wife material hatimaye leo asubuhi ameniacha.

Amenipigia simu akiniambia nina maongezi na wewe kama uko sehemu tulivu Hebu kaa unisikilize akaniambia mambo mengi kuhusu haya mahusiano yetu mimi na yeye ila finally aliniambia mipango yake kuhusu maisha na akaenda mbali zaidi akaniambia mimi ndo kikwazo kikubwa kwake hivyo anachokiona nampotezea muda wake tuu hivyo tulipofikia hapa panatosha amenivumilia sana lakini sasa amechoka na ameona sina mwelekeo wowote kuhusu maisha.

Kwa sasa hapa nilipo sijui cha kufanya nina maumivu makali mnoo ninayoyasikia mapigo ya moyo yanaenda kwa kasi mnoo roho inaniuma kumpoteza huyu binti sababu sina maisha.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger