9/01/2020

Rosa Ree 'Game ya Hip Hop Upande wa Wanawake BONGO Imesinzia Sana Nahitaji Ushindani Sasa'


Msanii Rosa Ree Amekaririwa akisema kuwa Game ya Hip Hop upande wa Wanawake imelala sana kiasa anayesikika ni yeye tu kwenye game kitu ambacho sio sawa,

"Ushindani katika mziki ni kitu cha muhimu sana kina ongeza mashabiki , chukulia mfano wa Kina Diamond, Kiba na Harmonize mziki wao unazidi kuwa mkubwa kwasababu ya ushindani, mmoja akitoa wimbo mashabiki wa huyu wanakimbilia kuudownload au kuutazama kuona amefanya nini, lakini pale unapojikuta upo peke yako kama ilivyomimi kwa sasa watu wanachukulia poa tu, sijui Chemical na wengine wamepotea wapi, Nahitaji Ushindani" Rosa Ree
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger