9/14/2020

Rotimi wa Vanessa Mdee Aanza Kujifua KiswahiliMPENZI wa msanii, Vanessa Mdee Rotimi, ameonekana akijifunza kuongea lugha ya Kiswahili ambapo alikuwa anafundishwa baadhi ya maneno na mpenzi wake huyo.

Rotimi ameonekana akifundishwa kutamka maneno hayo kupitia Insta Story ya Vanessa Mdee ambapo alikuwa anamwambia ataje maneno ya Kiswahili kama yafuatayo

“Ahh Mama yangu, jamaani kabisa polee,” amesema  Rotimi.

Wawili hao wanakaribia kumaliza mwaka sasa tangu walipoanza mahusiano yao mwaka 2019, ambapo Vanessa  alikuwa ametoka kuachana na msanii wa RnB, Juma Jux.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger