Shambulizi la kisu lazua hofu UingerezaHofu ya kushambuliwa kwa kisu yatanda huko Birmingham, Uingereza ... 


Katika taarifa iliyotolewa na polisi wa West Midlands, imeelezwa kuwa kulikuwa na ripoti ya shambulizi la kisu katikati mwa jiji.


Katika taarifa hiyo, imebainika kuwa kumekuwa na mashambulizi mengine kadhaa yaliyotekelezwa katika eneo hilo siku za hivi karibuni. 


Polisi wametangaza kuwa kulikuwa na majeraha katika mashambulio hayo, lakini haijulikani ni wangapi walijeruhiwa na wangapi walikuwa katika hali mbaya. 

That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments