AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mwanadada @officialshilole Afunguka Kwamba Hawezi Rudiana Na Uchebe Ambaye Wametalakiana Miezi Michache Nyuma. Shilole Kafunguka Hayo Kwa Kumjibu Shabiki Aliyecomment Akimuasa Shishi Kutorudiana Na Uchebe, Shishi Alijibu Kwa Kuandika Labda Niwe Maiti
Ujumbe Huo Umezidi Kuashiria Kwamba Wawili Hao Hawana Mpango Wa Kurudiana Kabisa Baada Ya Kuendelea Kutupiana Maneno Ya Hapa Na Pale
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK