9/01/2020

Shujaa wa Filamu ya ‘Hotel Rwanda’ Akamatwa Kwa Ugaidi


Leo September 1, 2020 Taarifa kutokea nchini Rwanda zinasema Paul Rudesabagina ambaye aliwasaidia Wanyarwanda wengi wakati wa Mauaji ya Kimbari kwa kuwahifadhi kwenye Hoteli aliyokuwa anaiongoza amekamatwa.

Ujasiri wake ulisababisha kutengenezwa kwa filamu inayoelezea kisa hicho inayofahamika kwa jina la ‘Hotel Rwanda’.Paul anatuhumiwa kwa mashtaka mbalimbali yanayohusiana na makosa ya ugaidi, Mamlaka za Uchunguzi Nchini Rwanda zimeeleza kuwa wamefanikiwa kumkamata Rusesabagina kwa kushirikiana na mataifa mengine bila kuyaweka wazi.

Kwa nyakati tofauti, Paul Rusesabagina amekuwa akiikosoa Serikali ya Rais Kagame kwa jinsi ilivyomaliza mgogoro uliopelekea mauaji ya mwaka 1994.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger