Tanzia: Mwanasiasa mkongwe Salim Turky afariki dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mwanasiasa mkongwe na Mfanyabiashara maarufu wa Zanzibar, Salim Turky, amefariki usiku wa kuamkia Septemba 15 akiwa Hospitali ya Tasakhta Global Zanzibar baada ya kuugua ghafla

Turky alizaliwa Februari 11, 1963, alikuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae tangu 2010. Amefariki akiwa Mwenyekiti wa Kampuni za Turky zinazoendesha biashara zake Tanzania Bara, Zanzibar na Visiwa vya Comoro


Ikumbukwe kuwa mwaka 2017 Tundu Lissu aliposhambuliwa kwa risasi, Turky alitafuta ndege iliyompeleka Lissu Nairobi na kuwa Mdhamani wa Deni la kukodi ndege iliyokuwa inamilikiwa na FlyghtLink


Katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, Turky pia alijitokeza kutetea Ubunge katika Jimbo la Mpendae kwa tiketi ya CCM. Alifahamika zaidi kwa jina la 'Mr White'


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad