Tazama MELI ya TAITANIC ilivyozama na Kuua Maelfu ya Watu


Imepita miaka 107 lakini dunia imeshindwa kuhusahau usiku wa umauti, Ulikuwa usiku wa kiza kinene kwenye bahari yenye kina kirefu, bahari ya Atlantic, Ilikuwa Aprili 14 mwaka 1912 Usiku ambao meli kubwa zaidi kwenye historia ya Dunia ilizama, Meli ya Titanic


SIKILIZA HAPA CHINI SIMULIZI  HII:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments