9/20/2020

Tundu Lissu Awafungukia Wakazi wa Kigoma "Nilipata Salamu Zenu Kutoka Kwa Zitto Kabwe"


 “Napenda kuwashukuru Wananchi wa Kigoma kwa wema wenu,  kipindi naumwa nilipata salam zenu za pole kutoka kwa Kijana wenu Zitto Kabwe toka nilipokuwa Nairobi mpaka Ubelgiji. Ahsanteni sana kwa salaam.” Tundu Lissu

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger