Tundu Lissu Kuzindua Kampeni zake mkoani Dodoma Leo katika Uwanja wa Shule ya Msingi Uhuru.Leo, tarehe 04 September 2020, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kupitia CHADEMA,  Tundu Lissu
ataendelea na uzinduzi wa kampeni ambapo leo atazindua kampeni kwenye kanda ya kati.

Uzinduzi huo utafanyika katika viwanja vya shule ya msingi Uhuru mkoani Dodoma.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments