Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Ujumbe wa harmonize akiwatambulisha Killy na Cheed waliokimbia Kings music ya Alikiba

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREWasanii wa muziki wa Bongo Fleva ambao walikuwa chini ya lebo ya @officialalikiba @kingsmusicrecords ambao ni @officialcheed na @officialkilly_tz waliotambulishwa rasmi kwenye lebo ya @kondegang iliyopo chini ya @harmonize_tz.Kupitia ukurasa wa instagram wa Harmonize amepost ujumbe huu akiwatambulisha:-

“BROTHER’S FOR EVER ..!!!! WELCOME @officialkilly_tz & @officialcheed SILAHA YETU NI UPENDO PAMOJA NA KAZI MAANA HIZO NDIO HAJA ZA WANANCHI WANAOIFANYA LEO HII KONDE MUSIC WORLDWIDE @kondegang RECORD LABEL KUBWA…!!!! SO LET’S DO IT…!!!!!!
#KONDEGANG4EVERYBODY πŸŒπŸŽΌπŸŽΉπŸŽ†πŸŽˆπŸŽ‡πŸŽ‰πŸ§¨πŸ§¨πŸŽŠπŸŽŠπŸŽˆπŸŽ†πŸŽ‡πŸŽŠπŸŽ‰πŸŽ‡πŸŽ†πŸŽ†πŸŽˆπŸŽˆ THE FATHER NIGHT 11/9/2020″

Post a Comment

0 Comments