11/24/2020

Utafiti: Kutumia Pesa zako Kwa Ajili ya Wengine Kuna Kufanya Uwe na Furaha Kuliko Kuzitumia Wewe


UNAAMBIWA: Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Michael Norton kutoka Havard, kutumia pesa zako kwa ajili ya wengine kunakufanya uwe na furaha zaidi kuliko kutumia kwa mahitaji yako mwenyewe. 


"Ukimnunulia kitu Mzazi wako unajisikiaje? vuta picha ile furaha unaipata ukimnunulia kitu Mpenzi wako au Mwanao... inazidi hata ile furaha ya wewe kujinunulia kitu, ndio maana tunasema kutumia pesa kwa ajili ya wengine kunakupa furaha zaidi, kwahiyo usiogope  kutumia pesa kwa ajili ya wengine" HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger