Viongozi wa Afrika wapongezwa kupambana na Covid-19

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mkuu wa kituo cha kudhibiti magonjwa Afrika (CDC) amewasifu viongozi wa Afrika kwa kuunga mkono jitihada za pamoja za kushughulikia janga la virusi vya corona.

John Nkengasong ameiambia BBC kuwa mkakati wa afya ya umma barani Afrika , ukiwemo wa ongezeko la upimaji, kuwafikia wale waliohusiana na walipata corona pamoja na uvaaji wa barakoa umeweza kushusha kiwango cha maambukizi ya virusi vya corona.


Shirika la afya duniani (WHO) awali lilisema kuwa mlipuko wa Covid-19 barani Afrika unaweza kuwa makubwa zaidi.


Jumatatu , takwimu mpya zinaonyesha kuwa virusi vipya vya corona vimeshuka barani Afrika kwa asilimia kumi na mbili -12%.


DKt Nkengasong alisema:Takwimu zinawakilisha jitihada za kiafya za umma na viongozi wa bara zima kwa ujumla katika kulinda.


Virusi hivi katika jumuiya yetu vilihitaji umoja wetu katika kupambana dhidi ya janga hilo kwa umoja, na hicho ndicho tulichofanya.


Alisema bara hili lilikabiliana na ugonjwa kama Ebola ambao umeweza kusaidia kuweza kujua namna ya kukabiliana na janga la virusi vya corona.


Amesema hatua ambazo zimechukuliwa na nchi tofauti zimeweza kusaidia kukabiliana na janga hili kwa urahisi.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad