Wafanyakazi Watano TPA Wafikishwa Mahakamani kwa Kesi ya Uhujumu Uchumi Wafanyakazi 5 kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) na Benki ya CRDB wamefikishwa katika Mahakama ya Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi.

Kesi inayowakabili Valentine Sangawe, Leticia Massaro, Christina Temu, Eva Vicent na Joseph Ndulu ina jumla ya mashtaka 28 ikiwemo kuisababishia TPA hasara ya zaidi ya Bilioni 1.1 na kutakatisha Tsh. 5,119,839,758.

Watano hao wamesomewa mashtaka na hawakutakiwa kujibu lolote kwasababu Mahakama haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo, upelelezi wa kesi haujakamilika na Hakimu ameiahirisha hadi Septemba 23.

That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments