9/04/2020

’Wahu Awashauri Wanawake ‘Huwezi Kuwa Unaomba Mpenzi Wako Pesa Kwa Kila Jambo'

Msanii Wahu Kagwi kupitia kwenye mitandao ya kijamii ya instagram aliwashauri wanawake kuwa hawawezi wa wanawategemea waume zao kila wakati au kwa jambo lolote.

Aliwapa ushauri wanawake wote ambao wamo katika mahusiano au ambao wameolewa.


“Dada zanguni tuko pamoja? sasa wacha tuzungumzie pesa hauwezi kuwa unaitisha pesa za kuweka kredit ya simu kila siku kwa mpenzi wako ,Na pia pesa za fuma na vitu vingine lazima huwe na pesa zako lazima huwe na akaunti yako ya benki yenye pesa, unapaswa kuwa na maarifa kuhusu uwekezaji wa pesa zako hupaswi kuwa unaomba.” Alisema Wahu.

 Ni ushauri ambao ulipokelewa vyema na mashabiki wake wengi na hata kumuunga mkono ilhali wengi walipinga ushauri wake huku wakisema wanawake wanapaswa kusaidiwa na waume zao
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger