9/07/2020

Wako pamoja: Alikiba Awanyamazisha Waliodai Wametengana na Mkewe


Msanii wa bongo wa Tanzania Alikiba amethibitisha hawajatengana na mkewe, hii ni baada ya uvumi kuenea sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa wawili hao wametengana.

 Amehakikisha kuwa wako pamoja na mkewe na mapenzii yao yanazidi kunoga na hata kuzidi kukuwa baada ya kuposti picha kwenye mitandao ya kijamii wakipamoja na mkewe Amina Khalef.


Hivyo basi, picha hii inathibitisha kuwa penzi lingalipo na wawili hao wanafurahia maisha kwa pamoja.

Baada ya mashabiki wake kuona picha yake msanii Alikiba waliwasifia huku wengi wakiwatakia ndoa njema, hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki;

ngwanamasele: ❤️❤️wameanza kufanana
officialsajim: couple boraaaa
muuzagongo: sema mke wake ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
happinessmapessa: Naipenda hii couple hatari mungu azdi kuiongoza siku zote
finagasper: Hizi bdo couple za kusimamia Sasa ..siyo unasimama kwenye couple unayumbishwa Kama mla ungaπŸ‘ŒπŸ˜‚πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯❤️❤️❤️
 fettymobetto:πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯penzi limerudi upya
Photo Credits: hisani
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger