AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Wanafunzi 22 wanaosoma katika shule ya Sekondari ya Yustas iliyopo Nyasaka wilayani Ilemela mkoani Mwanza, wameunguliwa vifaa vyao yakiwemo magodoro na nguo, baada ya bweni walilokuwa wanalala kuteketea kwa moto hii leo huku chanzo kikidaiwa kuwa ni shoti ya umeme.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK