Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Wananchi Kuweni Makini Kabla ya Kununua Nagari Kutoka JapanKufuatia malalamiko ya Watanzania kudhulumiwa wanapojaribu kununua magari mtandaoni, kutotumiwa kwa wakati na kutumiwa magari yasiyo na sifa, Ubalozi wa Tanzania nchini Japan umewataka wafanye uchunguzi kabla ya kutuma fedha


Umesema ni vigumu kwa fedha ambazo imeshatumwa kurejeshwa kutokana na Sheria za nchini humo kwakuwa Mamlaka huanzisha shauri dhidi ya mtu/kampuni iliyokiuka mkataba na sio ankara za malipo ambazo wengi huwa nazo


Aidha, Watanzania wanaoagiza magari wametakiwa kuangalia tovuti zaidi ya moja wanapotaka kufanya hivyo ili kufahamu bei za wastani za magari

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments