Wanawake Brazil Kulipwa Sawa na NeymarWACHEZAJI wa Timu ya Taifa ya wanawake ya Brazil watalipwa mishahara sawa na wachezaji wa timu ya wanaume ametangaza Rais wa Shirikisho la Boka Brazil (CBF), Rogerio Caboclo.

CBF inakuwa miongoni mwa mashirikisho machache Duniani yanayolipa posho sawa kwa timu za taifa za wanawake na wanaume, mataifa mengine yanayofanya hivyo ni Astrallia, Norway na New Zealand.

Malipo haya yataanza katika michuano ya Olympic itakayofanyika mwakani na katika fainali za kombe la Dunia. Rogerio Caboclo.

Amesema ‘itakuwa sawa kwa wote kama mapendekezo ya FIFA yanavyotaka kwenye soka la wanawake, hivyo hakutakuwa na utofauti wa jinsia’.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments