Wanawake Hufurahishwa na Vitu Vidogo Vidogo Sana Hakuna Haja ya Gharama

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wanawake Hufurahishwa na Vitu Vidogo Vidogo Sana Hakuna Haja ya Gharama

Kuwa Sasa hivi imekua ni kawaida mtu kutumia pesa nyingi labda kumpeleka mpenzi wake kwenye mahotel makubwa au kumnunulia vitu vya thamani ili kumuonyesha mapenzi, ila ukweli ni kwamba unaweza ukafanya hayo yote ukajiingiza kwenye gharama kubwa na matumizi usiyotarajia  bila mafaniko. Mwanamke haitaji vyote hivyo mwanamke anahitaji muda, tumia muda mwingi kuwa nae, muonyeshe unamjali, tatizo lake chukua liwe lako. Mpe kidogo ulicho nacho na kitoke moyoni, Usilazimishe mambo utamboa, fanya ajiamini ukiwa nae, kuwa na misimamo yako usiyumbe yumbe katika maamuzi, Usiogope kumwambia hisia zako kwake, kwani wanawake wanapenda mtu anayejiamini. Fanya hayo utaona matokeo yake..!!

Chukua Hiyo Mtu wangu

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad