Sasa hivi hili limekuwa kama janga la Taifa.
Single ladies wengi sana unakuta mwanamke mpaka miaka 33 hana hata mchumba wa kusingizia.
Na ni wengi mitaani tunawaona na wengi wao wakiona umri unazidi basi wanaamua kuzaa na kuwa single mums.
Nyie mnaonaje ni tabia hazikidhi mwanamke kuolewa?
Au ni gharama za harusi?
Wanaume please please muoe watoto wasio na baba wanazidi kuongezeka.
Na hamuwatendei haki wanawake.
Sikiliza Wimbo Hapo Chini Rosa Ree Aliyofanya na Waimbaji Undergroud, Ni Noma Diamond Ampa Big Up:
DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
0 Comments