google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Watu 11 wameuawa katika shambulizi la Boko Haramu nchini Nigeria | UDAKU SPECIAL

Watu 11 wameuawa katika shambulizi la Boko Haramu nchini Nigeria

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Wanamgambo wa kundi la Boko Haramu nchini Nigeria wamepelekea vifo vya watu  11.

Shambulizi la wanamgambo wa kundi la Boko Haramu nchini Nigeria limepelekea vifo vya watu  11 katika   eneo ambalo linapatikana katika ukanda wa Kaskazini-Mashariki  mwa Nigeria.


Kulingana na taarifa ambazo zimetolewa na  vyanzo vya habari   karibu na eneo la tukio , wanamgambo wa Boko Haramu walivamiia kijiji cha Wasaram , kijiji ambacho kinapatikana katika umbali wa kilomita  90 na Maiduguri na vyatua risasi.


Watu  11 ndio ambao wameripotiwa kufariki katika shambulizi hilo huku watu wengine wengi wakiripotiwa kujeruhiwa.


Wahalifu walioendesha shambulizi hilo walikabiliana na kikosi cha kulinda usalama muda mchache baada ya tukio hilo.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad