9/27/2020

Watu Mnalazimisha Nyeusi kua Nyeupe Harmonize Hawezi Kuwa Msanii Mkubwa zaidi ya Kiba

 


Baada ya Alikiba Kuachia nyimbo yake ya MEDIOCRE na kufanya mitandao yeye na Hasim wake kua Gumzo na kupelekea watu Kutafsir kua Alikiba kamtupia Dongo Diamond na kufanya yule kijana wa chitohoi kuzimika gafla hii imefanya Watu wake waanze kujitetea na kutaka kuaminisha Watu kua


Alikiba kaisha na Anafos Bifu na Diamond ili Arud kwenye chat na kudai sasaiv Hasim wa Diamond ni Harmonize hahahaha


Harmonize kwa Kiba hatosh hata kwenye kiganja cha Mkono kuanzia Mafanikio Mashabiki Mpaka Hela na Dhambi


Kumringanisha Alikiba na Msanii mwenye Tuzo ya Ubao kutoka kwa sonara wa Mwanza Alio pewa na Hbaba uo ni uhuni


Huwez mringanisha msanii Ambae Anatuzo nyingi za kimataifa Anamashabiki wa Dam kabisa na mtu Ambae toka Ameanza kujita jeshi Anapiga show za Bure tu


Na kama Kutupa vijembe ni kutafuta back up basi Kiba amesha mpa back up Diamond kitambo baada ya Diamond kuimba diss track inayo muhusu Kiba


Pia ikumbukwe wasanii wenye Mafanikio Makubwa Tanzania ni Diamond Alikiba Sasa uyo mtu Wa chitohoi Ana Nini cha kuwekwa na Alikiba?


By abdulhamis


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger