Yanga yazindua duka lao la jeziMashabiki wa Yanga SC wamekusanyika makao makuu ya club hiyo Jangwani Dar es Salaam kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi wa jezi zao mpya za msimu wa 2020/21 na uzinduzi wa duka lao.


Huu hapa muonekano wa  uzi mpya wa Yanga pamoja na duka jipya

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments